DAR: Ugonjwa wa Dengue umerejea nchini baada ya wagonjwa 11 kugundulika katika Hospitali ya Ocean Road - Wizara ya Afya, Jinsia, Maendele...
DAR: Ugonjwa wa Dengue umerejea nchini baada ya wagonjwa 11 kugundulika katika Hospitali ya Ocean Road
-
Wizara ya Afya, Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto imeeleza kuwa homa ya ugonjwa huo imendulika baada ya wagonjwa kadhaa waliokuwa na dalili zake kupimwa na kuthibitishwa
-
Mara ya kwanza ugonjwa huo uligundulika mwaka 2014 ambapo wagonjwa 400 waliupata. Walitibiwa na kupona, isipokuwa watatu ndiyo walifariki dunia
-
Tahadhari imetolewa kwa wananchi kupima afya haraka wanapohisi wana homa Kali, mafua na kuumwa kichwa kwa muda, ambazo ni dalili kubwa za homa ya dengue
-
Vimelea vya ugonjwa wa homa ya dengue husambazwa na mbu kama ilivyo kwa malaria. Hivyo wananchi wanahimizwa kuua mazalia ya wadudu hao haraka