http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Diamond Platinumz atahudhuria MAZISHI ya aliyekuwa mume wa mkewe? .....JIBU Liko Hapa

==> Mwanamuziki,Diamond Plantinumz alikuwa nchini Kenya kwa ajili ya tamasha la Koroga ambalo lilifanyika jana Jumapili Mei 28 =...


==> Mwanamuziki,Diamond Plantinumz alikuwa nchini Kenya kwa ajili ya tamasha la Koroga ambalo lilifanyika jana Jumapili Mei 28


==> Diamond aliwahutubia wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi na kuzungumzia kifo cha aliyekuwa mme wa mkewe wa sasa, Ivan Ssemwanga


==> Ssemwanga alifariki akiwa amelazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini baada ya kukumbwa na mshtuko wa moyo
****
Mwanamuziki, Diamond Plantinumz amezungumzia kifo cha aliyekuwa mme wa mkewe ,Zari Hassan ambaye alifariki juma lililopita akipokea matibabu katika hospitali moja Afrika kusini.


Akizungumza akiwa katika chuo kikuu cha Nairobi Ijumaa Mei 26, Diamond alisema kuwa Zari anapitia wakati mgumu ikizingatiwa kuwa alizaa watoto watatu na Ssemwanga .


Aidha ,Diamond alisema kuwa hangekosa kwenda Kenya kuhudhuria tamasha la Koroga kwa sababu alikuwa tayari amewaahidi Wakenya kwamba angeenda kabla ya msiba huo kutokea.


Diamond alisema atahudhuria mazishi ya mwenzake,Ssemwanga.


"Kwa kweli umekuwa ni wakati mgumu kufutilia mbali mualiko huu. Nimeongea na mke wangu akanielewa. Nikimaliza hapa nitaenda Uganda kwa sababu ya mazishi," Diamond alisema.


Marehemu Ivan Ssemwanga alikuwa amemuoa Zari Hassan ambaye kwa pamoja walikuwa na watoto watatu wa kiume kabla ya kutalakiana kisha Zari akaolewa na Diamond.

==> Soma habari yote <<kwa kuingia hapa>> 

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Diamond Platinumz atahudhuria MAZISHI ya aliyekuwa mume wa mkewe? .....JIBU Liko Hapa
Diamond Platinumz atahudhuria MAZISHI ya aliyekuwa mume wa mkewe? .....JIBU Liko Hapa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoaa-2TbQKc1xYSDbqoKz02Nv2DAWvkoUTp64egqbd5djpgBFnXP5WtlndE-QgW9Kd7cmYUve2LQ_Iye3RP1mMmxaiFx6zAC3JXVdFNxDKhkGUpXRQ-M6B1kKA6IVSCWGBY7TqqvvUYfqD/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoaa-2TbQKc1xYSDbqoKz02Nv2DAWvkoUTp64egqbd5djpgBFnXP5WtlndE-QgW9Kd7cmYUve2LQ_Iye3RP1mMmxaiFx6zAC3JXVdFNxDKhkGUpXRQ-M6B1kKA6IVSCWGBY7TqqvvUYfqD/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/diamond-platinumz-atahudhuria-mazishi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/diamond-platinumz-atahudhuria-mazishi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy