http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

YALE MASHINDANO YA UTANGAZAJI AJTC YAMEANZA HII LEO

Makamu Mkuu wa chuo cha AJTC, Elifuraha Samboto, akitoa hotuba kabla ya vipindi vya redio  kuanza hii leo....



Makamu Mkuu wa chuo cha AJTC, Elifuraha Samboto, akitoa hotuba kabla ya vipindi vya redio  kuanza hii leo. PICHA NA BUGOMA WA BUGOMA.
Mashindano Ya Utangazaji Yameanza Rasmi Hii Leo  Katika  Chuo Cha Uandishi Wa Habari Na Utangazaji Arusha Kwa Wanafunzi Kuwasilisha Vipindi Mbalimbali Kwa Lengo La Kuongeza Ubunifu Na Uzoefu Katika Tasnia Ya Habari.


Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha wakisikiliza vipindi vya redio katika mashindano hiliyo anza leo ndani ya chuo hicho....PICHA NA STEVEN MULAKI

Mashindano Hayo Yanahusisha Madarasa Zaidi YaKumi Na Tatu,AmbapoTayari Darasa La Seluu Limewasalisha Vipindi Vyao Mapema Hii Leo.


Majaji katika mashindano hayo ni Steven Mulaki, Onesmo Mbise, Andrea Ngobole,Amos Ishengoma pamoja na Jackline Joel.
Hata Hivyo Mashindano Hayo Yatafikia Tamati Siku Ya Ijumaa Ya Tarehe 27 ,ambapo Mshindi Wa Kwanza, Wa Pili Na Na Tatu Watapewa Zawadi Mbalimbali Ikiwemo Kombe Pamoja Na Fedha Taslimu laki moja na nusu Za Kitanzania.
  Pia Wanafunzi Katika Chuoni hapo Wamekuwa Na Mwitikio wa aina yake huku kiladarasa likijidhatiti kikamilifu kuibuka kidedea katika Mashindano hayo .


Mashindano hayo ambayo ni ya 9 ,Ufanyika Kila Mwaka Katika Chuo  hicho ambapo Wakufunzi Ufungua Mashindano Hayo  Kwa Kufanya Vipindi Mbalimbali Kitu Ambacho Huongeza Shauku Na Mwitikio Kwa Wanafunzi Chuoni Hapo.

NA Raymond William



TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : YALE MASHINDANO YA UTANGAZAJI AJTC YAMEANZA HII LEO
YALE MASHINDANO YA UTANGAZAJI AJTC YAMEANZA HII LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijxu97zd9ays3b8Mv-EoXH7OjE-TkQWUqz7Ok6vCdZkgERXd-dhNztxZ70CawvgglMxOUBQlvw12mG2vZi3PS5gv8_mr4-EWrRtfu_8ecS-XcE5y3iZBHNXILNFuDHdXrXzEZIPbcoTxUK/s640/DSC05037.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijxu97zd9ays3b8Mv-EoXH7OjE-TkQWUqz7Ok6vCdZkgERXd-dhNztxZ70CawvgglMxOUBQlvw12mG2vZi3PS5gv8_mr4-EWrRtfu_8ecS-XcE5y3iZBHNXILNFuDHdXrXzEZIPbcoTxUK/s72-c/DSC05037.JPG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/yale-mashindano-ya-utangazaji-ajtc.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/yale-mashindano-ya-utangazaji-ajtc.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy