http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Apandishwa mahakamani kwa kuolewa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mkazi mmoja wa Manispaa ya Mtwara Sharifu Issah maarufu kamaZamda Salumu amefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vitendo vya utovu ...

Vigogo Bandari Kizimbani kwa Rushwa ya Bilioni 8
Mawakili Wambana Ester Bulaya Mahakamani....Vielelezo Idadi ya Wapiga Kura Vyatofautiana
WANANCHI WABOMOLEWA NYUMBA 150 JIJINI DAR ES SALAAM, LEO KUTUA KWA MKUU WA WILAYA KUPELEKA KILIO CHAO




Mkazi mmoja wa Manispaa ya Mtwara Sharifu Issah maarufu kamaZamda Salumu amefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vitendo vya utovu wa kimaadili kwa kujifanya mwanamke na kumshawishi mwanaume mwenzake kufunga ndoa na kuishi pamoja kama mke na mume.

Akisoma kesi hiyo hakimu mkuu mkazi Richard Kabate amesema kosa hilo ni kinyume na kifungu cha 157 cha kanuni ya adhabu sura namba 16 ya sheria iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Kabate amedai kuwa mshtakiwa kati ya mwezi Machi mwaka huu na mwezi wa Juni akiwa katika vijiji vya Mkahala na Mpanyani halmashauri ya Nanyambamkoa wa Mtwara kwa makusudi alijifanya mwanamke na kumshawishi Mustapha Saidi Nurdini kwa kumtongoza na kufunga nae ndoa isiyo halali.

Hata hivyo hakimu Kabete amesema kitendo hicho kinatoa tafsiri ya ukiukwaji mkubwa wa maadili kwa watu wa jinsia moja ya kiume kuishi kinyumba. Mshtakiwa aliposomewa shtaka hilo na wakili wa serikali George Makasi amekana shitaka hilo na upelelezi wa kesi hiyo unaendelea mshtakiwa amerudishwa mahabusu na kesi hiyo itatajwa mahakamani hapo Septemba 28, 2017.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Apandishwa mahakamani kwa kuolewa
Apandishwa mahakamani kwa kuolewa
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/09/15/Kijana.jpg?itok=d0W-jXxw×tamp=1505497740
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/apandishwa-mahakamani-kwa-kuolewa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/apandishwa-mahakamani-kwa-kuolewa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy