http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Kauli ya Jaji Mkuu Kuhusu mlundikano wa kesi Mahakamani


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahimu Juma leo May 7, 2018 amefungua mafunzo elekezi kwa majaji wapya 14 wa Mahakama Kuu nchini yakiwa na len...

JENGO LA CWT PWANI ,LAIBIWA COMPUTER 11 NA ZAIDI YA MIL.5
MPIGA CHAPA MKUU WA SERIKALI AMKABIDHI MHE. JAJI MKUU BENDERA YA TAIFA NA YA AFRIKA MASHARIKI
Maadhimisho ya siku ya makazi duniani yaendelea Jijini Dar es Salaam.




Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahimu Juma leo May 7, 2018 amefungua mafunzo elekezi kwa majaji wapya 14 wa Mahakama Kuu nchini yakiwa na lengo la kuwataka wafanye kazi kwa umakini.


Jaji Prof Juma amezindua mafunzo hayo ya wiki 3, katika Kituo cha Mahakama cha Mafunzo ya Uongozi kilichopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.


Amesema kuwa Majaji wanatakiwa kutambua kadri wananchi wanavyozitambua haki zao, mlundikano wa kesi unaweza kuongezeka lakini hiyo isiwe kigezo cha wao kushindwa kukidhi matarajio ya wananchi ya kusikiliza mashauri yao na kuyatolea maamuzi kwa wakati.


Akizungumzia mlundikano unaosababishwa na upungufu wa majaji, Jaji Prof Juma amewataka majaji kutumia muda wao vizuri na kujitahidi kuamua kesi ambazo zinaweza kutolewa uamuzi mapema na kumalizika.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kauli ya Jaji Mkuu Kuhusu mlundikano wa kesi Mahakamani
Kauli ya Jaji Mkuu Kuhusu mlundikano wa kesi Mahakamani
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCJ4HnBWu_4BAFRL7NU2-NV8QVAwNp-9XcnCensDQJ14drvE7aWxrwjvrutRTkvDYmH3z65pZ09_nuK92VqtSjRB3CchZj8_ZcMMIDscxgQeFObbQ3HeH6dyverYrYKGgA76zb2uS8nWk8/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgCJ4HnBWu_4BAFRL7NU2-NV8QVAwNp-9XcnCensDQJ14drvE7aWxrwjvrutRTkvDYmH3z65pZ09_nuK92VqtSjRB3CchZj8_ZcMMIDscxgQeFObbQ3HeH6dyverYrYKGgA76zb2uS8nWk8/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/kauli-ya-jaji-mkuu-kuhusu-mlundikano-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/kauli-ya-jaji-mkuu-kuhusu-mlundikano-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy