Kamanda mmoja mkuu nchini Afghanistan amethibitisha kuwa kiongozi mkuu wa wapiganaji wa kundi la Taliban, Mullah Akhtar Mansour, ameuw...
Kamanda mmoja mkuu nchini
Afghanistan amethibitisha kuwa kiongozi mkuu wa wapiganaji wa kundi la
Taliban, Mullah Akhtar Mansour, ameuwawa.
Inasemekana kuwa Rais Barack Obama aliidhinisha shambulio hilo mapema.
Serikali ya Afghan na Pakistani, zinasema kuwa hazikufahamishwa kuhusiana na shambulio hilo.