http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Maadhimisho ya siku ya makazi duniani yaendelea Jijini Dar es Salaam.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu siku ya makazi duniani leo Jij...

Video: Safari hii hatutakuwa wa kulialia- Chadema
Jenerali wa Jeshi ampa Rais Kabila siku 45 aachie Urais, asambaza video
Mgombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Kinondoni Atoa Neno Zito Akirudisha Fomu Leo



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu siku ya makazi duniani leo Jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akakiangalia bango la Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA) wakati wa maadhimisho ya siku ya makazi duniani leo Jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa mwakilishi wa Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA) wakati wa maadhimisho ya siku ya makazi duniani leo Jijini Dar es Salaam.

Picha na: Jonas Kamaleki, MAELEZO

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Maadhimisho ya siku ya makazi duniani yaendelea Jijini Dar es Salaam.
Maadhimisho ya siku ya makazi duniani yaendelea Jijini Dar es Salaam.
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2016/10/kuv1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/maadhimisho-ya-siku-ya-makazi-duniani.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/10/maadhimisho-ya-siku-ya-makazi-duniani.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy