http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Shambulio la kigaidi latibuliwa Mombasa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

                               Kituo cha police cha Central mjini Mombasa Kenya Wanawake watano waliovalia mabuibui na walioaminika kuvaa mi...

MAGUFULI ATOA AGIZO WANANCHI WAPEWA MASHAMBA BURE
MAAFISA MAWASILIANO "NINYI NI MABALOZI WA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU KODI: TRA
Masauni Ajitosa Sakata la Maandamano Nchi Nzima


                               Kituo cha police cha Central mjini Mombasa Kenya

Wanawake watano waliovalia mabuibui na walioaminika kuvaa mikanda ya kujilipua walivamia kituo kimoja cha polisi mjini Mombasa katika shambulio la kigaidi.

Maafisa wa polisi nchini Mombasa wanasema kuwa walitibua jaribio hilo na kufanikiwa kuwaua wanawake watatu huku wawili wakikamatwa.

Polisi wanasema kuwa washukiwa hao waliwasili katika kituo cha polisi cha Central ili kuripoti kuhusu simu ya rununu ilioibiwa.

Na wakati malalamishi yao yalipokuwa yakichukuliwa mmoja wao alichukua kisu na kuwadungu maafisa wawili wa polisi ,huku mwengine akiwarushia polisi waliokuwa wakichukua malamishi hayo bomu la petroli.                                      Kituo cha police cha Central mjini Mombasa Kenya

Polisi wanasema kuwa waliwafyatulia risasi na kuwaua wote.

Maafisa waliojeruhiwa wamepelekwa hospitalini huku kituo hicho cha polisi kikilindwa ili kuhakikisha kuwa hakuna tishio jingine.I
                        Kituo cha police cha Central mjini Mombasa Kenya

Kumekuwa na mashambulio kadhaa katika eneo la pwani ya Kenya katika miaka ya hivi karibuni mengi yakifanywa na kundi la kigaidi la al-Shabab

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Shambulio la kigaidi latibuliwa Mombasa
Shambulio la kigaidi latibuliwa Mombasa
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/A713/production/_91117724_mombasacentralpolicestation.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/shambulio-la-kigaidi-latibuliwa-mombasa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/shambulio-la-kigaidi-latibuliwa-mombasa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy