MOROGORO: Rais Magufuli asema mashamba yote yanayofutwa wapewe wananchi bure, ni mali yao. Walidhurumiwa kipindi cha miaka ya nyuma na w...
MOROGORO: Rais Magufuli asema mashamba yote yanayofutwa
wapewe wananchi bure, ni mali yao. Walidhurumiwa kipindi cha miaka ya
nyuma na wakubwa fulani kujimilikisha
-
Aidha, Rais John Magufuli ameagiza wafanyabiashara ndogondogo wa Stendi ya Morogoro kutobugudhiwa, amchangia Shilingi laki moja mama aliyeibua kero hiyo
-
Amewataka Watanzania kubadilika kwa kuwekeza katika viwanda, kwamba suala la viwanda linawezekana nchini
-
Rais amesema “Tusirudie tena kuua viwanda Serikali nitaunga mkono viwanda vyote vinavyoanzishwa. Nafahamu kuna baadhi ya vikodi kodi vinavyoleta kero, tayari nimeshatoa maelekezo kwa waziri wa viwanda kuangalia upya hizo kodi,”