http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Kitakacho wakuta CUF wasimlaumu mtu- Kamanda Mambosasa

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amewaonya wafuasi wa Chama Cha Wananchi (CUF) waliojipanga kufanya fuj...


Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amewaonya wafuasi wa Chama Cha Wananchi (CUF) waliojipanga kufanya fujo katika zoezi la kuhesabu kura katika jimbo la Kinondoni.
Ametoa onyo hilo wakati akizungumza na kituo kimoja cha Televisheni jijini Dar es salaam, ambapo amesema vikundi hivyo ni bora vikabaki nyumbani kwani hatasalimika mtu.
Amesema kuwa Jeshi la polisi limejipanga kwa kila kitu kuhakikisha uchaguzi huo wa marudio katika jimbo la Kinondoni unafanyika kwa amani.
“Tumeona kwenye mitandao kuna watu wanakusanyana kutoka Temeke, Ilala na Kinondoni kwa ajili ya kuja kufanya fujo, naomba wabaki nyumbani kwa sababu hakuna atakaesalimika,”amesema Kamanda Mambosasa
Hata hivyo, ameongeza kuwa uchaguzi umefanyika katika hali ya amani na usalama hivyo wananchi wa wa jimbo la Kinondoni hawapaswi kuwa na hofu.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kitakacho wakuta CUF wasimlaumu mtu- Kamanda Mambosasa
Kitakacho wakuta CUF wasimlaumu mtu- Kamanda Mambosasa
https://i0.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2018/02/Save.jpg?resize=652%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/kitakacho-wakuta-cuf-wasimlaumu-mtu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/kitakacho-wakuta-cuf-wasimlaumu-mtu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy