Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mh: Kalisti Lazaro ameendelea na ziara yake ya Mafunzo Mjini Brussels Belgium ambapo yeye na wanashiriki ...
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mh: Kalisti Lazaro ameendelea na ziara yake ya Mafunzo Mjini Brussels Belgium ambapo yeye na wanashiriki wengine walikuwa na discussion na Mr.Jens – Member of the European Parliament and Member of the Committee on Environment ,Public Health and Food Safety.