http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Daktari wa Macho Atoa Ushahidi Mzito ‘Kesi ya Scorpion Mtoboa Macho’...!!!

Shahidi wa nne katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete, ameieleza Mahakama kuwa mtu aliyehusik...



Shahidi wa nne katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete, ameieleza Mahakama kuwa mtu aliyehusika kumtoa macho Said Mrisho alikuwa ni mzoefu wa vitendo hivyo na siyo wa kawaida.

Shahidi huyo, Dk Christine Mataka (52) ambaye ni daktari bingwa wa macho kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alitoa maelezo hayo katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala alipotoa ushahidi dhidi ya mshtakiwa Njwete (34) katika kesi iliyopata umaarufu wa ‘kesi ya Scorpion’ kutokana na maelezo kwamba aliyefanya uhalifu huo ni Scorpion.

Akiongozwa na Wakili Mwandamizi wa Serikali, Nassoro Katuga, Dk Mataka kutoka kitengo cha macho alidai ilikuwa mara yake ya kwanza kuona mgonjwa aliyepelekwa Muhimbili akiwa hana vipande vya gololi za macho yote mawili.

Dk Mataka alidai mlalamikaji Said aling’olewa macho kwa kutumia kitu kikali kilichojikunja mbele ambacho kinaweza kutoa mboni ya jicho nzima bila kubaki kitu chochote.

Mbele ya Hakimu Mkazi, Flora Haule alidai kwa kawaida wagonjwa wanaopasuka jicho huwa wanakuwa na mabaki au vipande vya gololi ya macho

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Daktari wa Macho Atoa Ushahidi Mzito ‘Kesi ya Scorpion Mtoboa Macho’...!!!
Daktari wa Macho Atoa Ushahidi Mzito ‘Kesi ya Scorpion Mtoboa Macho’...!!!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPlC44I06-7QXANTjzVbdKB9FX7vNvm5sL8kKx7G-C7RvXEzfgleoLrJCVVqVJgRKOOLSXO1aG_u1FOKE5WlJfevwZJLj3Mbt6UM8e9zmdPy5gpntgjABaxaMm8h8i43gW2Uc63FkzBng/s640/Mataka.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPlC44I06-7QXANTjzVbdKB9FX7vNvm5sL8kKx7G-C7RvXEzfgleoLrJCVVqVJgRKOOLSXO1aG_u1FOKE5WlJfevwZJLj3Mbt6UM8e9zmdPy5gpntgjABaxaMm8h8i43gW2Uc63FkzBng/s72-c/Mataka.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/daktari-wa-macho-atoa-ushahidi-mzito.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/daktari-wa-macho-atoa-ushahidi-mzito.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy