Jaji kutoka Mahakama kuu Zanzibar, Rabia Husein Moh'd , akiangoza maandamano ya Wanasheria katika maadhimisho ya siku ya sheria Zanz...
Jaji kutoka Mahakama kuu Zanzibar, Rabia Husein Moh'd , akiangoza maandamano ya Wanasheria katika maadhimisho ya siku ya sheria Zanzibar, yalioanzia katika jengo la Mahakama hadi Kiwanja cha Tenis Chake Chake-Pemba.

Jaji kutoka Mahakama kuu Zanzibar, Rabia Husein Moh'd , akiangoza maandamano ya Wanasheria katika maadhimisho ya siku ya sheria Zanzibar, yalioanzia katika jengo la Mahakama hadi Kiwanja cha Tenis Chake Chake-Pemba.


Jaji kutoka Mahkama kuu Zanzibar, Rabia Hussein Moh'd , akizungumza neno kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na Wananchi na Wanasheria huko Kisiwani Pemba , wakati wa maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na Wadau mbali mbali wa Sheria wakiwemo , Majaji, Mahakimu , Wanasheria na wananchi mbali mbali katika maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar.

Jaji Kutoka Mahakama kuu ya Zanzibar, Rabia Husein Moh'd, akikaguwa Paredi rasmi, lililoandaliwa na kikosi cha Polisi Kisiwani Pemba, katika maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar siku huko katika Jengo la Mahakama Chake Chake -Pemba.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Mahakama Chake Chake na Wananchi mbali mbali Kisiwani Pemba, wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla katika Maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar.
Picha na Habiba Zarali-Pemba.