http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

KIONGOZI, Julius Mtatiro Avuliwa uanachama wa chama cha CUF

  Kada wa Chama cha Wananchi(CUF) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro amevuliwa uanachama wa cha...

 
Kada wa Chama cha Wananchi(CUF) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro amevuliwa uanachama wa chama hicho kuanzia leo Machi 4, 2018
-
Chama kimefikia uamuzi huo kutokana na Mtatiro kukaidi agizo la chama lililomtaka kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili, mbele ya baraza la utendaji la wilaya ya Ubungo
-
Mnamo tarehe 20 Desemba 2017, Kamati ya utendaji ya chama hicho iliketi ambapo ilimtaka Mtatiro, na wenzake 6 kuenda mbele ya Kamati hiyo kujibu tuhuma mbalimbali zinazowakabili, agizo ambalo Mtatiro na wenzake walikaidi
-
Moja ya kosa lililosababisha Mtatiro kuitwa mbele ya Kamati ni kutolipia kadi yake ya uanachama kwa muda wa miaka mitatu sasa, kitendo ambacho ni kinyume na katiba ya chama hicho
-
Kosa lingine ni kukihujumu (kukisaliti) chama kwa kushirikiana na chama cha CHADEMA katika chaguzi za marudio zilizofanyika ndani ya wilaya ya Ubungo, ambapo licha ya chama hicho kusimamisha wagombea, Mtatiro na wenzake hawakuwaunga mkono

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : KIONGOZI, Julius Mtatiro Avuliwa uanachama wa chama cha CUF
KIONGOZI, Julius Mtatiro Avuliwa uanachama wa chama cha CUF
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/kiongozi-julius-mtatiro-avuliwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/kiongozi-julius-mtatiro-avuliwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy