KALAMBO, RUKWA: Diwani wa kata ya Legezamwendo(CHADEMA), Gerevas Mwakyusa amejivua Udiwani na Uanachama wa chama hicho na Kujiunga CCM ...
KALAMBO, RUKWA: Diwani wa kata ya Legezamwendo(CHADEMA), Gerevas Mwakyusa amejivua Udiwani na Uanachama wa chama hicho na Kujiunga CCM
-
Aidha, Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 110 wamejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM
-
Viongozi na wanachama hao wamepokelewa na Humphrey Polepole, Katibu Mwenezi wa CCM Taifa akiwa kwenye Mkutano wa ndani wa ujenzi wa Chama Wilayani hapo




