http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Nape aikanusha akaunti feki ya twitter


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Dar es Salaam. Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, ameukanusha ujumbe unaotumwa kupitia akaunti ‘feki’ ya ...

VIDEO: Nape Akidhibitiwa na Polisi Arudi Ndani ya Gari Baada ya Mkutano wake Kupigwa Marufuku
VIDEO: Msanii Harmorapa Alivyotimua Mbio Baada ya Polisi Kutoa Bastola Kumdhibiti Nape Nnauye
TEF: AKUNA CHOMBO CHA HABARI KITAKACHOANDIKA HABARI KUHUSU PAUL MAKONDA..


Dar es Salaam. Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, ameukanusha ujumbe unaotumwa kupitia akaunti ‘feki’ ya twitter yenye jina lake na kuwataka wanaofanya hivyo waache kwani anawafahamu na atawataja.

Nape ameandika hayo leo sita mchana baada ya akaunti hiyo feki kuandika:
“Amemzuia Kinana kuzungumza, akae akijua hakuna marefu yasiyokuwa na ncha”
Akaunti hiyo feki pia iliandika:

“Siyo wote wenye nidhamu ya woga kunyamazia udhalimu unaowafanyia, utawazuia watu kuzungumza hadi lini? Katibu wangu piga moyo konde”
Nape alikanusha na kuandika:
“Mnahangaika nini kunichafua kwenye twitter, hizi tweet zinazosambwa za maneno yasiyo na busara siyo zangu, nilishasema jana nikamaliza, nitawataja sasa!”

Leo asubuhi Nape aliandika ujumbe wa kuwashukuru wanahabari na kusema alikuwa hajui kama wanampenda kiasi kile

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Nape aikanusha akaunti feki ya twitter
Nape aikanusha akaunti feki ya twitter
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/3863208/highRes/1598599/-/maxw/600/-/nbq7d3z/-/Napeeeeeeeee.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/nape-aikanusha-akaunti-feki-ya-twitter.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/nape-aikanusha-akaunti-feki-ya-twitter.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy