Mazishi ya rais wa zamani wa Burundi Jean-Baptiste Bagaza ambaye aliaga dunia wiki mbili zilizopita yamefanyika kwenye mji mkuu Bujumb...
Mazishi ya rais wa zamani wa Burundi
Jean-Baptiste Bagaza ambaye aliaga dunia wiki mbili zilizopita
yamefanyika kwenye mji mkuu Bujumbura.
Mda mfupi kabla ya kupinduliwa, bwana Bagaza alipiga marufuku maombi yote ya umma siku za wiki. Makasisi wengine walikamatwa kwa kikuaka amri hiyo.
Bwana Bagaza pia alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya sasa.
Mkewe Fausta Bagaza amekuwa akiandika kwenye mtandao wa twitter, kuwaomba watu msahaba kwa mabaya mmewe alitenda.