http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Sad News: MKE AUA MME WAKE KWA KUMCHINJA KISHA KUFUNGUA RADIO KWA SAUTI YA JUU

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Simon Haule **** Habari zilizotufikia kutoka katika kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga zinasema mwan...




Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Simon Haule
****

Habari zilizotufikia kutoka katika kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga zinasema mwanamke aliyejulikana kwa jina la Mama Tatu amemuua mme wake anayejulikana kwa jina la “Mzaramo” kwa kumchinja kisu shingoni na kumchoma kisu tumboni.




Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Alhamis Septemba 21,2017 katika eneo la Malenge/Uswahilini kata ya Tinde.


Inaelezwa kuwa wanandoa hao walikuwa wamegombana,ndipo mke akamsubiri mmewe alale na alipolala akamchoma kisu tumboni na shingoni.


“Baada ya kutekeleza tukio hilo,mwanamke huyo alifungua radio kwa sauti ya juu kisha kumfunga mlango kwa kufuli kisha kukimbilia Shinyanga Mjini ambapo kuna Mama yake mzazi,alipofika akamwambia mama kuwa amefanya mauaji,hali iliyomfanya mama atoe taarifa polisi na kufanikisha kukamatwa kwa mtuhumiwa”,mashuhuda wameiambia Malunde1 blog


“Wanandoa hawa wamepanga nyumbani kwa Kaboja,mme huwa anaonekana mara moja moja hapa Tinde kwa sababu anafanya kazi katika mgodi huko mkoani Geita”,wameeleza mashuhuda wa tukio hilo.


Chanzo cha tukio hilo bado hakijajulikana.

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Simon Haule amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.


Taarifa kamili tutawaletea hivi punde...

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Sad News: MKE AUA MME WAKE KWA KUMCHINJA KISHA KUFUNGUA RADIO KWA SAUTI YA JUU
Sad News: MKE AUA MME WAKE KWA KUMCHINJA KISHA KUFUNGUA RADIO KWA SAUTI YA JUU
https://1.bp.blogspot.com/-i58JJF12Px4/WcN23-svihI/AAAAAAAAR9E/w9v7_pmbm88wMOU888dNOG7mwavfr7IUwCLcBGAs/s640/HAULE.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-i58JJF12Px4/WcN23-svihI/AAAAAAAAR9E/w9v7_pmbm88wMOU888dNOG7mwavfr7IUwCLcBGAs/s72-c/HAULE.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/sad-news-mke-aua-mme-wake-kwa-kumchinja.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/sad-news-mke-aua-mme-wake-kwa-kumchinja.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy