http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Jitihada kumpeleka Lissu Marekani zagonga mwamba

Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ambaye amekuwa akifuatilia kwa ukaribu matibabu ya mbunge mwenzake wa Sing...


Mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu ambaye amekuwa akifuatilia kwa ukaribu matibabu ya mbunge mwenzake wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ameweka wazi kwamba jitihada za kumpeleka Lissu Marekani kutibiwa kwa sasa zimegonga mwamba. 

Lazaro Nyalandu ametoa taarifa hiyo kwenye ukurasa wake wa facebook ambapo amendika ujumbe kuhusu kauli ya madaktari wanaomtibia Tundu Lissu jijini Nairobi Kenya, na kueleza kwamba madaktari hao wamesema hawawezi kuruhusu Tundu Lissu asafirishwe kupelekwa Marekani kutokana na hali yake jinsi ilivyo.
“Kwa sasa mipango ya kumsafirisha Mheshimiwa Tundu Lissu nje itasimama kutokana na ushauri wa madaktari wa hospitali ya Nairobi, ili kuruhusu kukamilishiwa huduma za tiba ambazo tayari ameanzishiwa hadi hapo itakavyoshauriwa au vinginevyo, ama endapo kutatokea umuhimu wa kufanya hivyo katika siku zijazo”, ameandika Lazaro Nyalandu.
Hapo jana Lazaro Nyalandu alitoa taarifa kwamba wanafanya jitihada za kumpeleka Tundu Lissu Marekani kwa ajili ya matibabu zaidi, huku wakisubiria ripoti ya madaktari wa hospitali ya Nairobi ambako mbunge huyo anatibiwa, na ndipo ilipokuja taarifa hiyo kwamba haitowezekana kumsafirisha kwa sasa.
Ikumbukwe  kuwa Mbunge Tundu Lissu alipigwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 mjini Dodoma majira ya mchana, na usiku wa siku hiyo hiyo alikimbizwa jijini Nairobi kwa ajili ya matibabu zaidi, kutokana na hali yake kutokuwa nzuri.
Alichokiandika Lazaro Nyalandu facebook

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Jitihada kumpeleka Lissu Marekani zagonga mwamba
Jitihada kumpeleka Lissu Marekani zagonga mwamba
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/09/21/lissu_0.jpg?itok=UGEfxyeM×tamp=1505970705
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/jitihada-kumpeleka-lissu-marekani.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/jitihada-kumpeleka-lissu-marekani.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy