http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Shambulizi laua 11 Baghdad

Gari lililokuwa limetegwa vilipuzi lililipuka karibu na lango la kiwanda cha gesi. Kumetokea shambulizi la kujitolea...

Gari lililokuwa limetegwa vilipuzi lililipuka karibu na lango la kiwanda cha gesi.
Kumetokea shambulizi la kujitolea Mhanga katika kiwanda cha gesi kaskazini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.

Ripoti zinasema kuwa takriban watu 11 wameuwawa na wengine 20 wamejeruhiwa vibaya.
Msemaji wa jeshi la Iraq anasema gari lililokuwa limetegwa vilipuzi lililipuka karibu na lango la kiwanda hicho.

Baadaye washambuliaji sita wa kujitolea kufa wakaingia ndani ya kiwanda hicho ambapo walikabiliana na maafisa wa uslama.
Matenki ya gesi pia yamewashwa moto.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Shambulizi laua 11 Baghdad
Shambulizi laua 11 Baghdad
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2016/05/01/160501121541_car_bomb_640x360_ap_nocredit.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/shambulizi-laua-11-baghdad.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/shambulizi-laua-11-baghdad.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy