Waziri wa Habari ,sanaa,utamaduni na michezo Mh Dk Harison Mwakyembe ametembelea idara ya Habari na maelezo leo baada ya kula kiapo mb...
Waziri
wa Habari ,sanaa,utamaduni na michezo Mh Dk Harison Mwakyembe
ametembelea idara ya Habari na maelezo leo baada ya kula kiapo mbele ya
Mh Raisi pamoja na Balozi kiongozi ikulu Dar_es_salaam.Amepokelewa na
Naibu waziri pamoja na katibu mkuu wa wizara hiyo
source.....360