http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Naibu Waziri wa Habari kuwa mgeni rasmi Tamasha la Sanaa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Na Beatrice Lyimo-Maelezo-Dar es Salaa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Annastazia Wambura anatarajiwa kuwa mgeni ras...

Bunge lazungumzia afya ya Spika Ndugai
PICHA ZA AJALI YA BASI ILIYOUA WATU WATANO
Breaking News: Moto Waunguza Shule ya Wasichana Korogwe
Na Beatrice Lyimo-Maelezo-Dar es Salaa

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Annastazia Wambura anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Sanaa litakalofanyika Septemba 24, mwaka huu katika kijiji cha Makumbusho Jijini Dar salaam.

Tamasha hilo ni sehemu ya maandalizi ya matamasha yanayofanyika katika kuelekea maadhimisho ya kilele cha Siku ya Msanii Tanzania inayotarajiwa kufanyika Octoba 29 mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Haak Neel Production Bw. Godfrey Mahendeka alisema kuwa lengo la tamasha hilo ni kutambua, kuhamasisha na kuthamini kazi na machango unaotolewa na wasanii nchini.

Amesema kuwa Tamasha hilo litawakutanisha wasanii wa aina zote ikiwemo Sanaa za muziki, filamu, ufundi na maonyesho ili kuonyesha umahiri wao kwa hadhira.

“Kwa mara ya kwanza tamasha hili linawakutanisha wasanii aina zote kwenye eneo moja yaani sanaa za muziki, filamu, ufundi na maonyesho ili kuonyesha umahiri wao kwa hadhira” alifafanua Bw. Mahendeka.

Aidha, aliongeza kuwa tamasha hilo litapambwa na shughuli mbalimbali ikiwemo huduma ya uchangiaji damu, elimu ya mifuko ya jamii kwa wasanii na jamii kwa ujumla.

Kwa upande wake mwakilishi kutoka Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) Bw. Augustino Makame aliwataka wasanii wa fani zote kujitokeza kwa wingi kwani siku hiyo ni fusra ya wasanii hao kubadilishana mawazo na uzoefu walionao.

Naye Msanii wa Bongo Fleva na mmoja wa wasanii watakaoshiriki tamasha hilo Bw. Peter Msechu ameipongeza Serikali kwa kuwajali wasanii na kupelekea kuundwa kwa idara itakayoshughulikia masuala ya sanaa.

Hata hivyo, Msanii huyo ametoa wito kwa Serikali kuzidi kufuatilia kazi za wasanii na kuzuia kuingiza kazi za wasanii ambazo hazijajkidhi vigezo zinazotoka nje ya nchi.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Naibu Waziri wa Habari kuwa mgeni rasmi Tamasha la Sanaa
Naibu Waziri wa Habari kuwa mgeni rasmi Tamasha la Sanaa
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2016/09/index-52.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/naibu-waziri-wa-habari-kuwa-mgeni-rasmi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/naibu-waziri-wa-habari-kuwa-mgeni-rasmi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy