http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Wazazi washinda kesi ya kumfukuza kijana wao nyumbani

Wazazi wawili mjini New York wameshinda kesi waliyokuwa wakipambana kumfukuza nyumbani kijana wao mwenye umri wa miaka 30 baada ...

Wazazi wawili mjini New York wameshinda kesi waliyokuwa wakipambana kumfukuza nyumbani kijana wao mwenye umri wa miaka 30 baada ya kukaidi kuondoka.
Wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo katika mahakama ya juu ya jimboni humo, Jaji Donald Greenwood ameamuru kijana huyo aondoke nyumbani kwa wazazi wake.
Jaji Greenwood alimwambia kijana huyo kuendelea kubaki nyumbani kwa miezi sita zaidi kama alivyoomba 'haikubaliki.
Walipokuwa wakifungua mashtaka juma lililopita,Christina and Mark Rotondo walionyesha nakala ya nyaraka walizokuwa wakimuamuru kuondoka nyumbani tangu tarehe 2 mwezi Februari mwaka 2018.
Aidha wazazi hao walimpatia dola za Marekani 1,100 ili aondoke nyumbani, kwa mujibu wa barua walimtaka auze baadhi ya vitu vyake ikiwemo gari yake mbovu aina ya Volkswagen Passat.
Kijana Michael Rotondo ambaye alijiwakilisha mwenyewe mahakamani, amesema ''Sijui kwa nini hawawezi kusubiri kidogo kabla ya mimi kuondoka", Bwana Rotondo alieleza huku wazazi wakiwa wamekaa karibu na mwanasheria wao wakimtazama.
Ameongeza kuwa miezi sita ndio muda uli sahihi kwa mtu ambaye alikuwa akiwategemea watu .
Pamoja na hayo Bw. Michael Rotondo aliwaambia waandishi wa habari kuwa atakata rufaa, na amepanga kuondoka nyumbani miezi mitatu ijayo.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Wazazi washinda kesi ya kumfukuza kijana wao nyumbani
Wazazi washinda kesi ya kumfukuza kijana wao nyumbani
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/05/24/law1.jpg?itok=ttBFpMJE×tamp=1527168981
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/wazazi-washinda-kesi-ya-kumfukuza.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/wazazi-washinda-kesi-ya-kumfukuza.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy