http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

JAJI WA MAHAKAMA KUU NCHINI KENYA ATEULIWA,,,


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Jaji wa mahakama kuu jaji david maraga ndio jaji mkuu mpya wa Kenya Jaji wa mahakama kuu nchini Kenya David Maraga ndio jaji mkuu mpya mteul...

Nassari Awajibu TAKUKURU......"Sitakaa Kimya"
TAKUKURU: Tumesikitishwa sana na Nassari, Alichikileta sio Ushahidi
Breaking News: Video Mbowe Adai Serikali Imehusika Kumpiga Tundu Lissu Risasi, Asema Yupo Fiti
Jaji wa mahakama kuu jaji david maraga ndio jaji mkuu mpya wa Kenya

Jaji wa mahakama kuu nchini Kenya David Maraga ndio jaji mkuu mpya mteule wa Kenya.

David Maraga atachukua mahala pake Jaji mkuu mstaafu Willy Mutunga ambaye mda wake wa kuhudumu ulikamilika iwapo ataidhinishwa.

Jina lake litawasilishwa kwa rais Uhuru Kenyatta ili kuidhinishwa rasmi kabla ya kuwasilishwa mbele ya bunge ili kujadiliwa na kupitishwa.

Maraga mwenye umri wa miaka 64 aliwashinda wenzake 13 ambao pia walituma maombi yao ya kugombea wadhfa huo wa juu,akiwemo jaji wa mahakama ya juu Jacton Ojwang na Smokin Wanjala ,msomi Makau Mutua miongoni mwa wengine.

Majaji hustaafu wakiwa na umri wa miaka 70 hatua inayoaaminisha kwamba Maraga atahudumu kwa miaka sita.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : JAJI WA MAHAKAMA KUU NCHINI KENYA ATEULIWA,,,
JAJI WA MAHAKAMA KUU NCHINI KENYA ATEULIWA,,,
http://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/F78D/production/_91337336_davidmarag2.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/jaji-wa-mahakama-kuu-nchini-kenya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/jaji-wa-mahakama-kuu-nchini-kenya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy