http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Wataalam wa maabara waagizwa kujisajili


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla ameagiza waajili wote nchini kutoajili wataala...

Video: Video ya Lissu yazua gumzo , Nassari aivimbia Takukuru
WAZIRI MWIGULU: SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MAKAZI YA ASKARI
Nassari Awajibu TAKUKURU......"Sitakaa Kimya"
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla ameagiza waajili wote nchini kutoajili wataalamu wasio sajiliwa na wataalamu wa Baraza la Maabara za Afya nchini ili kuepuka kuajili wataalam hewa.


Dk. Kigwangalla ameyasema hayo jana wakati wa uzinduzi wa Baraza la Wataalamu wa Huduma za Maabara za Afya tukio lililofanyika Jijini Dar es Salaam ambapo Naibu Waziri alikuwa mgeni rasmi huku akitoa vyeti kwa wajumbe wa Baraza hilo waliomaliza muda wao pamoja na wajumbe wapya.


Akipongeza Baraza hilo la Maabara, alisema kuwa licha ya kuwa ni la siku nyingi, amelitaka kuhakikisha wanashirikiana na Mamlaka zingine husika kusimamia ubora wa wataalamu kusimamia vyuo husika katika kuwapata wataalam hao.


Pia aliwataka wataalamu wa Maabara waliosajiliwa kwa sheria ya 12 ya 1997, wajisajili tena upya kwa sheria mpya ya namba 22 ya mwaka 2007 kama ilivyoelekezwa ili wapate vyeti vipya.


Mwisho aliwaagiza wataalamu woye wa maabara waliosajiliwa wahakikishe wanalipia ada ya usajili kila mwaka ili kuendelea kupata kibali cha kuendelea kutoa huduma cha maabara kwa mwaka mzima ili baraza hilo liweze kujiendesha.


“Ili muwe wataalam, lazima muwe na chombo kama hichi. Hivyo katika msingi huo nyie wataalum wenyewe mutakiwa kujiongeza katika kuhakikisha munapata fedha kwa kuchangia/kuchangishana muweze kujindesha kama yalivyo mabaraza mengine” alisema Dk.Kigwangalla.


Baraza la Wataalamu wa Maabara za Afya, ni chombo cha kisheria kilichowekwa na Serikali ili kuwatambua na kuwasajili Wataalamu wa Maabara za Afya ya Binadamu, kusimamia ubora wa utoaji wa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya binadamu, kuchukua hatua za kisheria kwa wakiukaji wa sheria, na kushauri Serikali katika kuboresha huduma za maabara kwa wagonjwa.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Wataalam wa maabara waagizwa kujisajili
Wataalam wa maabara waagizwa kujisajili
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNZ2bqGyxvlua8WhRFzJ1zUT9NjY2EuqRbQS-J1w4K-7F56XZEmAAVyT819lz4K2HvDryrbd5jZ-ZgOhwJVhb5RxtAbx1jvkfyJzMiy28SJjsoFXVqojFLp6ppVXISolrgwroI5-Dxh4U/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNZ2bqGyxvlua8WhRFzJ1zUT9NjY2EuqRbQS-J1w4K-7F56XZEmAAVyT819lz4K2HvDryrbd5jZ-ZgOhwJVhb5RxtAbx1jvkfyJzMiy28SJjsoFXVqojFLp6ppVXISolrgwroI5-Dxh4U/s72-c/1.JPG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/wataalam-wa-maabara-waagizwa-kujisajili.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/09/wataalam-wa-maabara-waagizwa-kujisajili.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy