http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Upinzani wakataa kusoma maoni yao bungeni


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

KAMBI Rasmi ya Upinzani bungeni imekataa kusoma maoni yake kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ...

Mwaka Mmoja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kuwa madarakani.......Yote Aliyoyasema Yako Hapa
Mtu Mmoja Afariki Jijini Dar es Salaam......Jeshi la Polisi Latoa Tahadhari
Ajali yajeruhi wawili, zaidi 60 wanusurika kifo


KAMBI Rasmi ya Upinzani bungeni imekataa kusoma maoni yake kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, baada ya kutakiwa kuondoa maneno yanayokiuka Kanuni za Kudumu za Bunge.

Ilikataa kufanya hivyo baada ya Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu kuagiza Kamati ya Kanuni za Bunge pamoja na kiongozi wa kambi hiyo ya upinzani ambaye ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Godbless Lema, kukutana na kurekebisha maoni yao kabla ya kuyawasilisha bungeni.

Aliagiza hivyo jana kabla ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara na Waziri Charles Kitwanga, baada ya kueleza kuwa alipopitia maoni ya kambi ya upinzani aligundua kuwa yalikiuka Kanuni za Kudumu za Bunge.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Upinzani wakataa kusoma maoni yao bungeni
Upinzani wakataa kusoma maoni yao bungeni
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6dgA8x496dL2xeNCBiCNL3T7dVQHq4ydMx3DOvYCshUhxzm1buF_7nzWRNGJpGtv3FjLTFcgOYJ98znkMfZXxk8Yzx8amL9LXo-LNaEsq-_65tL09WTAZ8Fpr7G1OvV-yMr4ZpAqN2QN4/s400/mussa-zungu_210_120.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6dgA8x496dL2xeNCBiCNL3T7dVQHq4ydMx3DOvYCshUhxzm1buF_7nzWRNGJpGtv3FjLTFcgOYJ98znkMfZXxk8Yzx8amL9LXo-LNaEsq-_65tL09WTAZ8Fpr7G1OvV-yMr4ZpAqN2QN4/s72-c/mussa-zungu_210_120.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/upinzani-wakataa-kusoma-maoni-yao.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/upinzani-wakataa-kusoma-maoni-yao.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy