http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Ajali yajeruhi wawili, zaidi 60 wanusurika kifo

Shinyanga. Watu wawili wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 60 wakinusurika kifo baada ya basi la kampuni ya Ruksa Class kugongana uso kwa uso n...









Shinyanga. Watu wawili wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 60 wakinusurika kifo baada ya basi la kampuni ya Ruksa Class kugongana uso kwa uso na gari dogo aina ya Toyota Hilux katika eneo la Nhehelegani mkoani Shinyanga.

Kamanda wa polisi wa mkoa huo, Muliro Jumanne amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo (Jumanne) saa 3.00 asubuhi wakati basi hilo likitokea jijini Mwanza kuelekea mkoani Kigoma.
Kamanda Jumanne amewataja waliojeruhiwa kwenye ajali hiyo kuwa ni Benard Bisansaba(45), ambaye ni mchumi wa halmashauri ya wilaya ya Tarime na Kassim Shaaban (41) ambaye ni mwandisi wa halmashauri hiyo.

“Majeruhi wote wamelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga kwa matibabu,” amesema Jumanne.

Kwa ufupi

Kamanda wa polisi wa mkoa huo, Muliro Jumanne amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo (Jumanne) saa 3.00 asubuhi wakati basi hilo likitokea jijini Mwanza kuelekea mkoani Kigoma.

by mwananchi

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Ajali yajeruhi wawili, zaidi 60 wanusurika kifo
Ajali yajeruhi wawili, zaidi 60 wanusurika kifo
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/3849480/highRes/1588568/-/maxw/600/-/gre2kr/-/pic+ajali.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/ajali-yajeruhi-wawili-zaidi-60.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/ajali-yajeruhi-wawili-zaidi-60.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy