http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

SNURA AKANUSHA KUFUNGIWA YEYE NA WIMBO WAKE


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

  Baada ya taarifa kuenea kuwa Snura amefungiwa kujihusisha na kazi ya sanii nchini pamoja na wimbo wake...

Hawa ni watu kumi hatari kwa usalama wa taifa letu- Musiba
VIDEO: Zito Kabwe atoa Kauli nzito juu ya mauaji na utekaji unaoendelea nchini
Zitto Kabwe asimulia kuhusu kuvunjwa mbavu



 Baada ya taarifa kuenea kuwa Snura amefungiwa kujihusisha na kazi ya sanii nchini pamoja na wimbo wake na video msanii huyo amepaza sauti yake na kusema kuwa yeye hajafungiwa kufanya sanaa wala wimbo wake haujafungiwa na serikali.

Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Radio, Snura amesema kuwa katika barua ambayo alipewa imeeleza wazi kuwa video ya wimbo wake huo ‘Chura’ ndiyo imesitishwa kwa muda mpaka hapo atakapofanya video nyingine yenye maadili na kusema watu wanaosema kuwa yeye amefungiwa kujihusisha na sanaa ni wapotoshaji na waongo.

“Hata Serikali ikiona itaona waandishi kama mnasema uongo kwani sijafungiwa mimi kufanya kazi ya sanaa bali wimbo wangu umesitishwa mpaka nifanye video nyingine nzuri, hivyo mimi sijafungiwa, wala wimbo hajafungiwa hiyo kitu tangia jana wao ndiyo waliiweka hivyo, kwani hata katika copy ya barua ambayo mimi nimepata inasema hivyo na barua nyingine ilipelekwa kwa waziri ndiyo maana nikiona mtu anadanganya nakuwa sipendi” alisema Snura.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : SNURA AKANUSHA KUFUNGIWA YEYE NA WIMBO WAKE
SNURA AKANUSHA KUFUNGIWA YEYE NA WIMBO WAKE
http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/snura1451.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/snura-akanusha-kufungiwa-yeye-na-wimbo.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/05/snura-akanusha-kufungiwa-yeye-na-wimbo.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy