http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Watu 21 wafariki katika ajali ya mgodi Iran


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Waokoaji nchini Iran wameopoa miili ya watu 21 baada ya kutokea mlipuko mkubwa katika mgodi mmoja wa makaa ya mawe, huku zaidi ya wengine ...

Magufuli Ashusha Nyundo 7.....Apasua makampuni ya madini, Mafao hewa na miamala ya simu
Rais Magufuli Awaonya Wanasiasa Wanaomchelewesha Kufanya Kazi
Alex Msama Amwangukia Mwakyembe Kumuomba Radhi Baada ya Gazeti la DIRA Analolimiliki Kuchapisha Habari Zenye Utata
Waokoaji nchini Iran wameopoa miili ya watu 21 baada ya kutokea mlipuko mkubwa katika mgodi mmoja wa makaa ya mawe, huku zaidi ya wengine 69 wakijeruhiwa.

Mlipuko huo unadhaniwa kusababishwa na kuvuja kwa gesi katika mgodi wa Zemestan-Yurt Kaskazini mwa jimbo la Golestan.




Baadhi ya miili hiyo ni ya watu waliokwenda katika mgodi huo kuwasaidia waliojeruhiwa.
Zaidi ya wachimbaji wengine 32 wamekwama ardhini.


Juhudi za uokoaji zinaendelea huku zikikwamishwa na njia nyembamba ya kuingia sambamba na uwepo wa kiwango kikubwa cha gesi ndani ya mgodi huo.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Watu 21 wafariki katika ajali ya mgodi Iran
Watu 21 wafariki katika ajali ya mgodi Iran
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6UYYb6M0lNnXGs8Ml5l05UnzUkasBOM2Jpalwdfiy0uV5UIr1FMOUfpI-p459tIQr9iEEuAEIWKziSGBra7yMzeoTMx0rnu3bJIXHiRDKeLgLfLuWkKJEZu031WDkr7bALXAIRyD_UDU/s640/_95895572_30396c5d-a194-4206-851f-45a3f7d09804.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6UYYb6M0lNnXGs8Ml5l05UnzUkasBOM2Jpalwdfiy0uV5UIr1FMOUfpI-p459tIQr9iEEuAEIWKziSGBra7yMzeoTMx0rnu3bJIXHiRDKeLgLfLuWkKJEZu031WDkr7bALXAIRyD_UDU/s72-c/_95895572_30396c5d-a194-4206-851f-45a3f7d09804.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/watu-21-wafariki-katika-ajali-ya-mgodi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/watu-21-wafariki-katika-ajali-ya-mgodi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy