http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa kutokana na ajali iliyotokea leo.

Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa kutokana na ajali iliyotokea leo (Jumatano) eneo la Superdoll Barabara ya Mwalimui Ny...


Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,
Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa kutokana na ajali iliyotokea leo (Jumatano) eneo la Superdoll Barabara ya Mwalimui Nyerere jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema ajali hiyo ya uso kwa uso imehusisha lori aina ya Scania na Bus Eicher lenye lililokuwa likitokea Gongo la Mboto.
Sirro amewataja waliopoteza maisha kuwa ni Itlam Athuman (mwanafunzi wa shule ya Sekondari Msimbazi kidato cha kwanza) na Sakina Imamu (Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mchikichinj).

"Majeruhi wametibiwa katika Hospitali ya Temeke na baadhi yao wameruhusiwa wamebakia watatu tu. Jeshi la polisi linamshikilia dereva wa lori hilo kwani ajali hiyo imesababishwa na uzembe wake wa kuingia barabarani bila kuchukua tahadhari," anasema Sirro

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa kutokana na ajali iliyotokea leo.
Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa kutokana na ajali iliyotokea leo.
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/3912402/highRes/1631641/-/maxw/600/-/v3slhg/-/SIRO%255D.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/watu-wawili-wamepoteza-maisha-na.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/watu-wawili-wamepoteza-maisha-na.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy