http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Zitto Kabwe asimulia kuhusu kuvunjwa mbavu

Zitto Kabwe amesema hayo leo Februari 23, 2018 akiongea na waandishi wa habari na kusema kuwa kitendo cha yeye kukamatwa na kulazwa n...


Zitto Kabwe amesema hayo leo Februari 23, 2018 akiongea na waandishi wa habari na kusema kuwa kitendo cha yeye kukamatwa na kulazwa ndani kwa siku moja kumemfanya agundue kuwa kuna Watanzania wengi wanateseka na kupata shida kwenye vituo vya polisi nchini.

"Watanzania wanateseka sana chini ya mikono ya polisi, sheria inataka ndani ya masaa 48 polisi wame wamewafikisha mahakamani watuhumiwa lakini tumekutana na watu wamekaa ndani siku 3 hata maelezo tu hawajaandika, wengine wana siku 20 wapo ndani hawajafikishwa mahakamani" alisema Zitto Kabwe

Kiongozi huyo aliendelea kudai kuwa polisi wamekuwa wakiwatesa wananchi ndani ya vituo hivyo vya polisi na kusababisha majeraha kwa baadhi ya watuhumiwa bila kuwapeleka hospitali kwa matibabu.

"Tumekuta watu ambao wanateswa, kijana mmoja mpaka mbavu zimevunjika na zaidi ya siku saba hajapelekwa hospitali kwa matibabu, mpaka jana tunaondoka hajapelekwa hospitali, tulipozungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro tulimweleza hilo, kuna watu ni wagonjwa hawajapelekwa hospitali akasema atashughulikia sasa sijui kama yeye alikuwa hajui hilo" alisema Zitto Kabwe

Mbali na hilo Zitto Kabwe amesema hali kiujumla ya nchi yetu kwa sasa ni tata kwa kuwa suala la mauaji yameendelea kutokea kinyume na mazoea yaliyokuwepo kipindi cha nyuma na kudai kuwa kuna kila sababu ya uchunguzi wa mauaji hayo kuanzia yale ya Kibiti mpaka haya ambayo yanaendelea sasa kuchunguzwa na vyombo huru na si jeshi la polisi kwa kuwa jeshi hilo nalo linatuhumiwa.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Zitto Kabwe asimulia kuhusu kuvunjwa mbavu
Zitto Kabwe asimulia kuhusu kuvunjwa mbavu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjg5PkFD5Bf6ahXHneu7YBpkieHAqxKWtpcA58s6TC4fU3AvsVtaK_9FXwmWgDKkR3VmdSrHDfnYwDyKp3_DCq0oAN-5fWM68RcKA7oMyOXNUqqh75TyxKO7qFd27aBpcoxXVtMG7Ayt8Qv/s640/Capture.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjg5PkFD5Bf6ahXHneu7YBpkieHAqxKWtpcA58s6TC4fU3AvsVtaK_9FXwmWgDKkR3VmdSrHDfnYwDyKp3_DCq0oAN-5fWM68RcKA7oMyOXNUqqh75TyxKO7qFd27aBpcoxXVtMG7Ayt8Qv/s72-c/Capture.JPG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/zitto-kabwe-asimulia-kuhusu-kuvunjwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/zitto-kabwe-asimulia-kuhusu-kuvunjwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy