http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mwanasiasa wa miaka 90 kuoa mwanamume Marekani


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Wofford alifiwa na mkewe Clare miaka 20 iliyopita Seneta mmoja wa zamani wa Marekani, ambaye kwa sasa ana umri wa mi...

Afisa Mtendaji ahukumu miaka 30 jela kwa ubakaji wa mtoto wa darasa 3
Rais Magufuli Akiwa ziarani Mererani Amtumbua Mkurugenzi
Jamaa Atolewa Mswaki Tumboni Uliokwama kwa Siku Sita
Seneta mmoja wa zamani wa Marekani, ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 90, ametangaza kwamba atamuoa mwanamume wa umri wa miaka 40.
Wawili hao watafunga ndoa mwishoni mwa mwezi huu.

Harris Wofford, aliyehudumu katika utawala wa Rais J F Kennedy kama msaidizi maalum aliyehusika na masuala ya haki za raia, aliachwa akiwa mjane baada ya mkewe Clare kufariki kutokana na saratani ya damu miaka 20 iliyopita.

Walikuwa wameishi katika maisha ya ndoa kwa miaka 48.
Akiandika katika gazeti la New York Times, Bw Wofford amesema anajihisi mwenye bahati sana kuishi katika enzi ambazo Mahakama ya Juu Marekani imetambua kwamba “ndoa haitegemeu maumbile ya mtu kijinsia, uamuzi au ndoto za mtu.”

“Msingi wake ni upendo.”
Mwanamume atakayeolewa naye ametambuliwa kama Matthew Charlton.
Wofford alihudumu wakati mmoja kama seneta wa chama cha Democratic akiwakilisha jimbo la Pennsylvania.

Aidha, alihudumu kama mshauri wa Dkt Martin Luther King Jr.
"Mnamo Aprili 30, katika umri wa miaka 90 na 40, tutaunganisha mikono yetu, tukiapa kuunganizhwa pamoja (kwenye ndoa): kuwa pamoja na kuishi pamoja, kwa mema na kwa mabaya, kwa utajiri na umaskini, katika maradhi na katika afya bora, kupenda na kuenzi, tangu kifo kitutenganishe," amehitimisha Wofford katika makala yake iliyochapishwa katika gazeti la New York Times Jumapili.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwanasiasa wa miaka 90 kuoa mwanamume Marekani
Mwanasiasa wa miaka 90 kuoa mwanamume Marekani
http://ichef-1.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2016/04/25/160425053911_harris_wofford_640x360_getty.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/mwanasiasa-wa-miaka-90-kuoa-mwanamume.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/mwanasiasa-wa-miaka-90-kuoa-mwanamume.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy