Utafiti uliofanywa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto(UNICEF) umebainisha kuwa kuna mafanikio makubwa ka...
Utafiti uliofanywa na Shirika la Umoja wa
Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto(UNICEF) umebainisha kuwa
kuna mafanikio makubwa katika kupunguza ndoa za utotoni.
-
Inakadiriwa kuwa ndoa za utotoni Milioni 25 zimezuiliwa katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
-
Je, kwa kuitazama jamii inayokuzunguka hali ikoje katika suala la ndoa za utotoni?
-
Inakadiriwa kuwa ndoa za utotoni Milioni 25 zimezuiliwa katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
-
Je, kwa kuitazama jamii inayokuzunguka hali ikoje katika suala la ndoa za utotoni?