http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Rufaa ya Ole Nangole yakwama mahakamani

Onesmo Ole Nangole Mahakama ya Rufani Kanda ya Arusha leo imetupilia mbali rufani ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Longido Onesmo Ole Na...


Onesmo Ole Nangole
Mahakama ya Rufani Kanda ya Arusha leo imetupilia mbali rufani ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Longido Onesmo Ole Nangole (Chadema), baada ya kukiuka amri ya Mahakama hiyo iliyomtaka afanye marekebisho kwa kuandika upya rufani yake.



Akisoma uamuzi wa Mahakama, Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Amir Msumi, amesema, Ole Nagole alikiuka amri ya Mahakama iliyotolewa Oktoba 24, mwaka jana iliyomtaka aongeze majina ya Msimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika rufani yake mpya kabla ya kesi kusikilizwa..

Mh. Jaji Msumi amesema Mahakama imeridhishwa na pingamizi lililowasilishwa na upande wa Mjibu Rufani, Dk. Masumbuko Lamwai, (CCM), aliyetaka rufani hiyo isisikilizwe kwa madai imeandikwa upya bila idhini ya Mahakama.

Matokeo ya Ubunge wa Onesmo Ole Nangole yalitenguliwa Juni 29 mwaka jana, kwa madai kulikuwa na dosari nyingi ikiwemo kujazwa matokeo ya Ubunge kwa kutumia fomu namba 21c za kujaza matokeo ya udiwani na kujaza matokeo ya Ubunge, badala ya kutumia fomu namba 21b.

Ole Nangole alikuwa akipinga kutenguliwa kwa matokeo hayo ambapo alikuwa akipambana na mgombea wa CCM Dk, Steven Kiruswa.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Rufaa ya Ole Nangole yakwama mahakamani
Rufaa ya Ole Nangole yakwama mahakamani
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/02/23/Nangole.jpg?itok=n5pke8kO×tamp=1487857887
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/rufaa-ya-ole-nangole-yakwama-mahakamani.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/rufaa-ya-ole-nangole-yakwama-mahakamani.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy