Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu amepiga marufuku utoaji wa mikopo midogo midogo kwa wanawake...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy
Mwalimu amepiga marufuku utoaji wa mikopo midogo midogo kwa wanawake kwa
madai haitoweza kuwasaidia katika juhudi za kuwakwamua kiuchumi.
"Masuala ya kuwapa wanawake mikopo watu sita laki tatu yamepitwa na wakati maana sijui itawasaidia kitu gani ?, kwa hiyo napiga marufuku suala la watu kupewa laki tatu, watafanya shughuli gani ambayo itahusiana na masuala ya maendeleo ya viwanda huu ni upuuzi", amesema Ummy. MSIKILIZE HAPA CHINI