AFRIKA KUSINI: Mkurugenzi Mkuu wa mashtaka Shaun Abrahams, amethibitisha kuwa Rais wa zamani Jacob Zuma atashtakiwa kwa makosa 18 ya rus...
AFRIKA KUSINI: Mkurugenzi Mkuu wa mashtaka Shaun Abrahams,
amethibitisha kuwa Rais wa zamani Jacob Zuma atashtakiwa kwa makosa 18
ya rushwa
-
Zuma mwenye umri wa miaka 75, alilazimishwa na chama chake cha ANC kujiuzulu mwezi uliopita kutokana na tuhuma mbalimbali za rushwa
-
Mashtaka anayokabiliwa nayo Zuma yanahusishwa na ununuzi wa silaha za kivita za Serikali katika miaka ya 1990 zilizokuwa na thamani ya Tsh. Trilioni 5.64, kabla hajawa Rais