http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

SIHA Mawakala zaidi ya 70 wa CUF wapigwa Stop

Siha. Mawakala zaidi ya 70 wa Chama cha Wananchi (CUF) wamezuiwa kuingia katika vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Siha kutokana na k...

Siha. Mawakala zaidi ya 70 wa Chama cha Wananchi (CUF) wamezuiwa kuingia katika vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Siha kutokana na kukosa barua kutoka kwa msimamizi wa uchaguzi.
Akizungumza na MCL Digital leo Februari 17,2018 naibu mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CUF Taifa, Masoud Omar amesema mawakala wao 73 kati ya 75 wamezuiwa kuingia vituoni kutokana na dosari hiyo.
Omar ambaye pia ni meneja wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Siha kwa tiketi ya chama hicho, Tumsifuel Mwanri, amesema wanawasiliana na CUF makao makuu kutatua tatizo hilo.
Amesema ni mawakala wawili tu walioruhusiwa.
Msimamizi wa uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Valerian Juwal bado hajapatikana kuzungumzia suala hilo.
Awali, mkurugenzi huyo aliwaambia waandishi wa habari kuwa upigaji kura ulioanza saa moja asubuhi ulikuwa ukiendelea vizuri na vituo vyote vilikuwa shwari na kulikuwa hakuna tatizo lolote.
Hali ya ulinzi imeimarishwa kukiwa na  magari yaliyowabeba askari, huku wengine wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakionekana maeneo kadhaa ya jimbo hilo.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : SIHA Mawakala zaidi ya 70 wa CUF wapigwa Stop
SIHA Mawakala zaidi ya 70 wa CUF wapigwa Stop
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi09rQATEfLJ8ONTnrhR596f48OAuLCCTRM-qbe5B0QA4uheWpmst9XMvJ_2iSUZ55XauNDyvC3vPbPDrU9lKHqB2zx1kc8EqraQ1vuhi1pPC2lZbkmDhDUMa19c1MCJ5rW-If9INwwyA9b/s640/bendera-ya-CUF.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi09rQATEfLJ8ONTnrhR596f48OAuLCCTRM-qbe5B0QA4uheWpmst9XMvJ_2iSUZ55XauNDyvC3vPbPDrU9lKHqB2zx1kc8EqraQ1vuhi1pPC2lZbkmDhDUMa19c1MCJ5rW-If9INwwyA9b/s72-c/bendera-ya-CUF.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/siha-mawakala-zaidi-ya-70-wa-cuf.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/siha-mawakala-zaidi-ya-70-wa-cuf.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy