Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe ameagiza Polisi nchini kumuachia msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego ...
Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe ameagiza Polisi nchini kumuachia msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego aliyekuwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa wimbo usio na maadili.
Waziri Mwakyembe amesema Rais ameshauri wimbo wa ‘WAPO’ auboreshe kwa kutaja na wakwepa kodi.
==>Msikilize hapo chini Akiongea