http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Kamati ya Faru John yakabidhi ripoti


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Dar es Salaam. Kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuchunguza kifo cha Faru John imetoa taarifa kuwa mnyama huyo alikufa katik...

Polisi watano(5) wameuwawa nchini kenya.
JWTZ Yakanusha Taarifa za Kuibwa kwa Kifaru.....Lasema Taarifa hizo Hazina Ukweli Wowote
Serikali imesema Kodi ya Kiinua mgongo kwa watumishi wote Akiwemo Rais itakatwa..Bajeti 2016/2017 yapita kwa asilimia 100

Dar es Salaam. Kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuchunguza kifo cha Faru John imetoa taarifa kuwa mnyama huyo alikufa katika hifadhi ya Sasakwa Gruneti kwa kukosa matibabu alipoumwa.

Akiwasilisha ripoti hiyo kwa Waziri Mkuu, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Profesa Samwel Mnyele alisema faru John alikosa matunzo na uangalizi wa karibu.
Mnyele ambaye ni Mkemia Mkuu wa Serikali alisema hakukuwa na kibali rasmi cha kumhamisha Faru John kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Grunet.

Alisema kamati hiyo imeshauri hatua za kiutawala zichukuliwe dhidi ya ofisi ya Mkurugenzi wa Wanyamapori na Mhifadhi wa Hifadhi ya Ngorongoro kutokana na mapungufu yaliyojitokeza.
Kwa upande wake, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipongeza kamati hiyo na kusema serikali itayafanyia kazi mapendekezo ili kulinda maliasili.

Kwa ufupi
Akiwasilisha ripoti hiyo kwa Waziri Mkuu, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Profesa Samwel Mnyele alisema faru John alikosa matunzo na uangalizi wa karibu.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kamati ya Faru John yakabidhi ripoti
Kamati ya Faru John yakabidhi ripoti
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/3866622/highRes/1601016/-/maxw/600/-/ux2mouz/-/Faru+john_1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/kamati-ya-faru-john-yakabidhi-ripoti.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/kamati-ya-faru-john-yakabidhi-ripoti.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy