http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

VIDEO,VITAMBULISHO VYA TAIFA, MRISHO GAMBO ATOA SIKU 14


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amewapa siku 14 wafanyabiashara na wawekezaji walipo mkoani humo wawe wamemeshajiandiki...

VIDEO:ARUSHA: DIWANI KAWAJIBU LEMA NA NASSARI
BREAKING NEWS! Nyumba za Polisi Line, Arusha zinateketea kwa moto
TAZAMA VIDEO:MUME AMUUA MKE WAKE KISHA NAYE KUJINYONGA HADI KUFA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amewapa siku 14 wafanyabiashara na wawekezaji walipo mkoani humo wawe wamemeshajiandikisha katika zoezi la vitambulisho vya taifa kwa wale ambao hawana mpaka sasa hivi. 

Gambo ametoa kauli hiyo akiwa ofisini kwake kwa lengo la kuwapa vipaumbele watu hao kushirikishi katika zoezi hilo ili wasike kupata shida endapo watahitaji kuenda kuchukua hati ya kusafiri ambayo kwa sasa mpaka upatiwe ni lazima uwe na kitambulisho cha Taifa.
"Serikali ya awamu ya tano ya Rais John Magufuli ni serikali ambayo inajali makundi yote ya kijamii pamoja na wafanyabiashara. Tumeona ni muhimu kutengeneza utaratibu kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha kwa ajili ya kuwatengenezea mazingira rahisi wafanyabiashara na wawekezaji na kupitia mpango huo tumeona tuweke utaratibu maalumu wa kutenga wiki mbili kuanzia Marchi 15, 2018 ili waweze kushiriki kikamilifu", amesema Gambo.
Mtazame hapa chini Mrisho Gambo anavyoongea zaidi

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : VIDEO,VITAMBULISHO VYA TAIFA, MRISHO GAMBO ATOA SIKU 14
VIDEO,VITAMBULISHO VYA TAIFA, MRISHO GAMBO ATOA SIKU 14
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/02/28/Gambo.jpg?itok=qSuHffv5×tamp=1519806580
https://i.ytimg.com/vi/UmLOT8HVa5Q/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/videovitambulisho-vya-taifa-mrisho.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/videovitambulisho-vya-taifa-mrisho.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy