http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

TAZAMA VIDEO:MUME AMUUA MKE WAKE KISHA NAYE KUJINYONGA HADI KUFA

Mkazi wa Misungwi, Kwilokeja Boniface (35) amemuua mkewe Shija Luchagula (30), kwa kumnyonga kisha na yeye kujinyonga kwa kile kinachodai...


Mkazi wa Misungwi, Kwilokeja Boniface (35) amemuua mkewe Shija Luchagula (30), kwa kumnyonga kisha na yeye kujinyonga kwa kile kinachodaiwa wivu wa mapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi alisema jana Jumatatu kuwa tukio hilo lilitokea jana katika kijiji cha Mwiligiligili wilayani Misungwi. Alisema mwanaume alitoka shambani akakuta tairi nyingi za baiskeli kwenye uwanja wa nyumba yake ndipo ukazuka ugomvi baina yao akimtuhumu mkewe kutokuwa mwaminifu kwenye ndoa yao hivyo alianza kumpiga kwa fimbo kisha kumnyonga mpaka akafariki dunia. Alisema baada ya kufanya hivyo na yeye alichukua jukumu la kujinyonga kwa kamba ili kukwepa mkono wa sheria. “Kwa sasa polisi wanaendelea na uchunguzi kuhusiana na vifo hivyo na miili ya marehemu tayari imefanyiwa uchunguzi na kukabidhiwa kwa ndugu wa marehemu kwa ajili ya mazishi"

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : TAZAMA VIDEO:MUME AMUUA MKE WAKE KISHA NAYE KUJINYONGA HADI KUFA
TAZAMA VIDEO:MUME AMUUA MKE WAKE KISHA NAYE KUJINYONGA HADI KUFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgocOLHrBzwWZ2N8L3S-wZr09MSLErQTDK8l4hwPnOd7bT2oNdRQTqAmNzjQsKZe2SWef2CZBrnGCxKSs7Y-S_DVS5D5j3E3YM8ohtCY8UeC0ECvu14_VNoIZ8MHPcVJroKNlC_sjofg3g/s640/the_betrayal-660x400.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgocOLHrBzwWZ2N8L3S-wZr09MSLErQTDK8l4hwPnOd7bT2oNdRQTqAmNzjQsKZe2SWef2CZBrnGCxKSs7Y-S_DVS5D5j3E3YM8ohtCY8UeC0ECvu14_VNoIZ8MHPcVJroKNlC_sjofg3g/s72-c/the_betrayal-660x400.jpeg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/tazama-videomume-amuua-mke-wake-kisha.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/tazama-videomume-amuua-mke-wake-kisha.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy