http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Polisi imemdaka kijana alievamia shule na kujaribu kubaka Walimu na Wanafunzi kwa mkupuo Arusha


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Ndio utajiuliza aliwazaje au kuanzaanza vipi kufikiria kwamba anaweza kuvamia shule na kuwabaka kwa mara moja Walimu pamoja na Wanafunzi....

Moi kuwatimua 45 waliokutwa na vyeti feki
VIDEO: Nape Akidhibitiwa na Polisi Arudi Ndani ya Gari Baada ya Mkutano wake Kupigwa Marufuku
VIDEO: Msanii Harmorapa Alivyotimua Mbio Baada ya Polisi Kutoa Bastola Kumdhibiti Nape Nnauye
Ndio utajiuliza aliwazaje au kuanzaanza vipi kufikiria kwamba anaweza kuvamia shule na kuwabaka kwa mara moja Walimu pamoja na Wanafunzi.
Hata hivyo kijana huyo aitwae Musa Shakifu hakufanikiwa kwenye jaribu hilo la kuvamia shule ya Msingi Oltroto iliyopo Arumeru na tayari Jeshi la Polisi limemdaka ambapo Kamanda wa Polisi Charles Mkumbo amesema wanaendelea kumuhoji.

Mwalimu wa zamu kwenye shule hiyo amekiri kuvamiwa na kijana Musa ambae alionekana kutumia nguvu za kupitiliza kutaka kuwabaka kwa mkupuo Waalimu pamoja na Wanafunzi.


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Polisi imemdaka kijana alievamia shule na kujaribu kubaka Walimu na Wanafunzi kwa mkupuo Arusha
Polisi imemdaka kijana alievamia shule na kujaribu kubaka Walimu na Wanafunzi kwa mkupuo Arusha
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyXNEvglI8aTcpVIBzNmpauSnoYkxyQZ7QoUyygMClXhz3eJoNj50XiX2IrLqSlZIzzld4FQVJDJ78HuhZKAMIP3rtEmlrEzBdmeYMdl1UL1a1wcjakuGvTmqJ_cL57QNFGRar1srj96CS/s640/WhatsApp-Image-2017-11-02-at-16.03.38.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyXNEvglI8aTcpVIBzNmpauSnoYkxyQZ7QoUyygMClXhz3eJoNj50XiX2IrLqSlZIzzld4FQVJDJ78HuhZKAMIP3rtEmlrEzBdmeYMdl1UL1a1wcjakuGvTmqJ_cL57QNFGRar1srj96CS/s72-c/WhatsApp-Image-2017-11-02-at-16.03.38.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/11/polisi-imemdaka-kijana-alievamia-shule.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/11/polisi-imemdaka-kijana-alievamia-shule.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy