http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mwigulu Nchemba: Nape si jambazi, askari aliyemtishia bastola akamatwe..!

Waziri wa Mambo ya Ndani, mheshimiwa Mwingulu Nchemba, amekilaani kitendo cha askari aliyemtishia bastola aliyekuwa Waziri wa Habari, Utama...


Waziri wa Mambo ya Ndani, mheshimiwa Mwingulu Nchemba, amekilaani kitendo cha askari aliyemtishia bastola aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye jana wakati akitaka kuzungumza na waandishi wa habari.



Mheshimiwa Mwigulu ameahidi kumsaka askari huyo ili sheria ifuate mkondo wake.

“Mh.Nape Moses Nnauye sio jambazi, ni mtanzania, ni mbunge, mjumbe wa NEC wa CCM, hana record ya uhalifu,” ameandika kwenye akaunti yake ya Instagram.

“Kitendo cha mtu kumtolea Bastola, Sio cha kiasikari, sio cha kitanzania na sio cha ki Mungu, kama mtu ameweza kutoa Bastola mbele ya Kamera nawaza mbali ingekuwa kwenye uchochoro angefanya nini,” ameongeza.

“Nahusika na Usalama wa Raia wote wa Tanzania, nimemwelekeza IGP atumie picha kumsaka mtu yule aliyeinua kufanya kitu cha kihalifu kwa kofia ya uaskari. Na kama ni Askari basi sheria zinazoongoza taasisi husika zichukue mkondo wake.”

Kabla ya kuanza kuzungumza na waandishi wa habari, Nape alizuiliwa na askari kadhaa walionekana kwenye video wakimlamzimisha arudi ndani ya gari lake kabla ya mmoja kuchomoa bastola. “Kwanini mnatoa bunduki hadharani, mimi jambazi?” alihoji Nape “Nataka waliokuja kuzuia mkutano waambie kwanini wanazuia mkutano. Wanatoa bunduki hadharani, wanataka sasa nifanye nisivyowaza kufanya. They want to kill me. Nataka hawa waliotoa bunduki kwenye nchi huru waseme aliyewatuma kutoa bunduki hadharani, aliyetuma kuzuia mkutano, I want this kabla sijaingia kwenye gari kuondoka, tusifanyiane mambo ya kijinga nchi huru hii. Nimepigana mimi kutafuta kura za CCM halafu wanakuja wapuuzi wachache.”

source.....Bongo5.com

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwigulu Nchemba: Nape si jambazi, askari aliyemtishia bastola akamatwe..!
Mwigulu Nchemba: Nape si jambazi, askari aliyemtishia bastola akamatwe..!
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2017/03/4K0A1378.jpg
https://i.ytimg.com/vi/LVUPaiChbhw/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/mwigulu-nchemba-nape-si-jambazi-askari.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/mwigulu-nchemba-nape-si-jambazi-askari.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy