http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Moi kuwatimua 45 waliokutwa na vyeti feki

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Tiba na Mifupa (Moi), Dk Othman Kiloloma (Kulia) Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Ki...

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Tiba
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Tiba na Mifupa (Moi), Dk Othman Kiloloma (Kulia)

Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Tiba na Mifupa (Moi), Dk Othman Kiloloma amesema kipo katika mchakato wa kupunguza wafanyakazi 45 waliokutwa na vyeti feki.
Akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii iliyofika hospitali hapo jana, Dk Kiloloma alisema pia taasisi hiyo ina upungufu wa fedha kutokana na Serikali kushindwa kutoa zuruku ya Sh4.8 bilioni zilikuwa zitolewe kwa mwaka wa 2016/17.

Alisema kutokana na tatizo hilo imekuwa vigumu kwao kujiendesha kwani kitengo kinatumia Sh20.6 bilioni kwa mwaka kwa ajili ya kununulia vifaa vya tiba pekee, wakati huo asilimia 70 ya wagonjwa wakitibiwa kwa msamaha.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Lawrence Museru alisema MNH iliidhinishwa kupewa Sh4 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali lakini mpaka sasa haijapokea fedha hizo

Kwa ufupi
Alisema kutokana na tatizo hilo imekuwa vigumu kwao kujiendesha kwani kitengo kinatumia Sh20.6 bilioni kwa mwaka kwa ajili ya kununulia vifaa vya tiba pekee, wakati huo asilimia 70 ya wagonjwa wakitibiwa kwa msamaha.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Moi kuwatimua 45 waliokutwa na vyeti feki
Moi kuwatimua 45 waliokutwa na vyeti feki
http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/3862430/highRes/1598085/-/maxw/600/-/aw1a20/-/P.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/moi-kuwatimua-45-waliokutwa-na-vyeti.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/03/moi-kuwatimua-45-waliokutwa-na-vyeti.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy