http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

PICHA: NG'OMBE 600 WACHINJWA KATIKA SHEREHE YA EID AL ADHA JIJINI DAR ES SALAAM


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mmoja kati ya kundi kubwa la ng’ombe akishushwa baada ya kuwasili katika eneo la kuchinja mapema leo tayari kwa kuchinjwa. Waislamu dunia...

Kijana mmoja kutoka arusha akamatwa kwa kutaka kufanya vurugu ofisi za Cuf buguruni
Zitambue Simu ambazo hazifanyi kazi tena na WhatsApp.!
VYUMBA SITA VYATEKETEA KWA MOTO KATA YA MURIETY JIJINI ARUSHA NA KUSABABISHA HASARA YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 80

Mmoja kati ya kundi kubwa la ng’ombe akishushwa baada ya kuwasili katika eneo la kuchinja mapema leo tayari kwa kuchinjwa. Waislamu duniani kote wanasherehekea sikukuu ya Idi ambayo husherehekewa kwa kutoa sadaka ya kuchinja. Ngombe takriban 600 wanatarajiwa kuchinjwa katika kipindi cha siku nne.

Kundi la ng’ombe wakiwa wamelazwa chini tayari kwa kuchinjwa katika sikukuu ya Idi inayosherehekewa duniani kote na waumini wa dini ya Kiislamu, siku hii ni siku maalumu ya kuchinja na kutoa sadaka. Ng’ombe zaidi ya 600 watachinjwa mpaka kufikia kilele cha maadhimisho ya sikukuu hiyo. Tukio la kuchinja limefanyika jijini Dar es Salaam katika shule ya Feza Boys iliyoko Kunduchi.



Tukio la kuchinja likiambatana na dua linaendelea

Waandaaji wa nyama iliyochinjwa katika siku ya kuchinja ambayo ni sikukuu ya Idi ambayo pia huambatana na hija. Waislamu duniani kote leo wanasherehekea Sikukuu ya Idi.












Wasimamizi wa kugawa nyama iliyojinjwa kama sadaka leo katika kituo cha shule ya Feza Boys iliyoko Kunduchi, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Tukio hilo hufanyika kila mwaka katika kuadhimisha sikukuu ya Idi. Ng’ombe hukusanywa kutoka kwa wafugaji mbalimbali nchini kwaajili ya kukamilisha tukio la kuchinja ili kutoa sadaka.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : PICHA: NG'OMBE 600 WACHINJWA KATIKA SHEREHE YA EID AL ADHA JIJINI DAR ES SALAAM
PICHA: NG'OMBE 600 WACHINJWA KATIKA SHEREHE YA EID AL ADHA JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1VNR19gQdXjhxepwVyrlwZfEdvgbXbx4hb_7hUJWxl1d0g-RDrsZ7iQQ-1d2BpKGtRkfhMEKPnKlJqBybDeWy3Vy77cvcu4J9RICyMsGjm5G5DLhHmOHkoeEpxy19sbiAP8KBZVrMeyE/s640/_MG_4671AnashushwaWEB.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1VNR19gQdXjhxepwVyrlwZfEdvgbXbx4hb_7hUJWxl1d0g-RDrsZ7iQQ-1d2BpKGtRkfhMEKPnKlJqBybDeWy3Vy77cvcu4J9RICyMsGjm5G5DLhHmOHkoeEpxy19sbiAP8KBZVrMeyE/s72-c/_MG_4671AnashushwaWEB.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/picha-ngombe-600-wachinjwa-katika.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/picha-ngombe-600-wachinjwa-katika.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy