http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Roma Mkatoliki kugombea Ubunge


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Rapa Roma Mkatoliki amefunguka juu ya harakati ya kuingia Bungeni mwaka 2020 na kusema hiyo ni sehemu nzuri kwake kufunguka mambo mengi ...

Kilimanjaro, Mama amchinja mwanaye wa miezi tisa
VIDEO,VITAMBULISHO VYA TAIFA, MRISHO GAMBO ATOA SIKU 14
Maandamano yamponza Mbuge wa CHADEMA


Rapa Roma Mkatoliki amefunguka juu ya harakati ya kuingia Bungeni mwaka 2020 na kusema hiyo ni sehemu nzuri kwake kufunguka mambo mengi ambayo kwenye nyimbo zake huenda anashindwa kuyazungumza kutokana na kutokuwa na kinga.

Rapa Roma Mkatoliki akiwa na Mtangazaji wa kipindi cha NIRVANA, Deogratius Kithama.

Roma Mkatoliki amesema hayo kupitia kipindi cha NIRVANA kinachoruka kila Jumanne kuanzia saa tatu usiku kupitia ting'a namba moja kwa vijana EATV, alipokuwa akiongea na mtangazaji wa kipindi hicho Deogratius Kithama, Roma anakiri kwamba amekuwa akishauriwa sana kugombea Ubunge mwaka 2020 hivyo anadai ataangalia ingawa kwa mazingira anayoyaona yeye Bungeni ndiyo sehemu sahihi yeye kuongelea kero za wananchi.

Kwa Tanzania baadhi ya wasanii ambao walikuwa wakiimba ngoma zinazogusa maisha ya watu kila siku na kuwapigania watu kupitia tungo zao kama Joseph Mbilinyi na Profesa Jay waliweza kuaminiwa na wananchi na kupigiwa kura na sasa ni wabunge wanawakilisha wananchi kupitia chama cha upinzani bungeni, hivyo inawezekana Roma Mkatoliki anataka kufuata nyanyo zao kwani naye amekuwa akifanya harakati na kutetea wananchi kupitia tungo zake kama ambavyo wao walikuwa wakifanya. Tazama video hii akifunguka zaidi hapa


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Roma Mkatoliki kugombea Ubunge
Roma Mkatoliki kugombea Ubunge
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/08/16/Roma%20na%20Deo.jpg?itok=FKbZHpMc×tamp=1502894136
https://i.ytimg.com/vi/A3Z29BjlKz0/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/roma-mkatoliki-kugombea-ubunge.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/08/roma-mkatoliki-kugombea-ubunge.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy