http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Video: JPM awaapisha mawaziri wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaapisha Mawaziri 21 na Manaibu Waziri 21, aliowateua baada ya k...


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaapisha Mawaziri 21 na Manaibu Waziri 21, aliowateua baada ya kufanya mabadiliko ya Baraza hilo Oktoba 7, 2017.
Sherehe za kuapishwa kwao zimefanyika Ikulu jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa kitaifa, wakiwemo Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kasim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma.
Baada ya kuapishwa Rais Magufuli amewataka Mawaziri hao kuanza kazi mara moja, na wamebadilishana nyaraka mbali mbali za wizara ambazo walikuwa wanatumikia awali, kwa wale ambao wamehamishwa wizara.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Video: JPM awaapisha mawaziri wapya
Video: JPM awaapisha mawaziri wapya
https://i2.wp.com/dar24.com/wp-content/uploads/2017/10/magufuli.jpg?resize=883%2C541
https://i.ytimg.com/vi/gZqpLOiFyTQ/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/live-video-jpm-awaapisha-mawaziri-wapya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/10/live-video-jpm-awaapisha-mawaziri-wapya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy