http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Polepole: Tuna orodha ndefu ya viongozi wa upinzani wanaotaka kuhamia CCM.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole amesema anayo orodha ndefu ya viongozi wa upinzani wanaotaka kuhamia CCM. ...

Mkuu wa shule Mkoani Singida ajinyonga hadi Kufa
Adama Barrow amtimua kazi mkuu wa majeshi Gambia
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AFARIKI DUNIA , CHAMWITA WAMLILIA

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole amesema anayo orodha ndefu ya viongozi wa upinzani wanaotaka kuhamia CCM.


Polepole alisema hayo jana huku akibainisha kuwa orodha hiyo inahusisha wenyeviti, madiwani na wabunge lakini siku nyingi tu alikuwa amewakatalia kuwapokea.


Hata hivyo Polepole alisema kwamba kutokana na kutuhumiwa kuwanunua sasa anafanya kweli, atawachukua mmoja mmoja.


Polepole alisema amemua kuchukua uamuzi huo baada ya Chadema kuonyesha utovu wa nidhamu kwa kudai kuwa madiwani wanaokihama chama hicho wamehongwa na CCM.


“Sasa tutaanza kumchomoa mmoja baada ya mwingine na kwa kutekeleza hilo wiki hii watampokea kiongozi mkubwa wa chama hicho,’’anasema Polepole.


Alibainisha kuwa kama chama kinakuwa na viongozi wanaoweza kuhongwa na wakahongeka basi chama hicho kitakuwa ni cha hovyo

"Madiwani wamesema wanamuunga mkono John Magufuli, wametoka wenyewe wameanza kusema CCM imewanunua, sasa kwa vile wameanza utovu wa nidhamu nitaanza kumtoa mmoja baada ya mwingine,’’anasema.


Polepople anaongeza kwamba: “Nilikua nakataa kuwapokea ila nina orodha kubwa wapo wenyeviti, wabunge kibao kama vile watu wanaojisaliji kodi ya majengo TRA"

"Unajua wanasema wanaisoma namba, nawahakikishia baada ya miaka mitano kwa spidi hii iliyoanza nayo CCM namba inayoonekana wakati huu itakuwa haisomeki kabisa, nitafanya shoo ndogo tu kuwachomoa viongozi hao sipendi kwenda kuwachukua wengi sababu nitaonekana kama nawahujumu vile na pia ili upinzani usikose watu angalau wa kuzungumza nao,"alisema

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Polepole: Tuna orodha ndefu ya viongozi wa upinzani wanaotaka kuhamia CCM.
Polepole: Tuna orodha ndefu ya viongozi wa upinzani wanaotaka kuhamia CCM.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkyH4_ZOj6zrRZZPg7D-ba8iRWMSRFYU3GV5udXQicZ8mAyYWUvQRVeChK7nonYh_Igbf29TRPE8si7YVXcJPI59kf__sZiZmfuDtxS31KtomW7Dj-2XWPyXZlKYSQcAemke-vce8aXXaF/s1600/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkyH4_ZOj6zrRZZPg7D-ba8iRWMSRFYU3GV5udXQicZ8mAyYWUvQRVeChK7nonYh_Igbf29TRPE8si7YVXcJPI59kf__sZiZmfuDtxS31KtomW7Dj-2XWPyXZlKYSQcAemke-vce8aXXaF/s72-c/1.JPG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/polepole-tuna-orodha-ndefu-ya-viongozi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/07/polepole-tuna-orodha-ndefu-ya-viongozi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy