http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mkuu wa shule Mkoani Singida ajinyonga hadi Kufa

Mkuu wa Shule ya Sekondari Tumuli katika Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida, Richard Makala (58) amejinyonga kwa kamba kutokana na kile kin...


Mkuu wa Shule ya Sekondari Tumuli katika Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida, Richard Makala (58) amejinyonga kwa kamba kutokana na kile kinachodhaniwa ni upweke.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Debora Magiligimba, amesema mjini Singida kuwa Mkamala alikutwa amejinyonga kwa kutumia kamba iliyotengenezwa kwa vipande vya chandarua iliyofungwa juu ya mti umbali wa mita 130 kutoka nyumbani kwake.


Aidha kamanda huyo alisema chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na kwamba hakuna mtu au watu wanaoshikiliwa kutokana na tukio hilo na kuongeza kuwa polisi inaendelea na upelelezi kubaini kilichomsibu mwalimu huyo.


Kwa upande wake Mjumbe wa Bodi ya shule hiyo, Mabruki Ng’ui ameliambia gazeti la Habarileo Jumatatu hii kuwa mwalimu huyo alikuwa anaishi peke yake kwa muda mrefu baada ya mkewe ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Tanzania (KKKT) Kitusha wilayani Iramba kuamua kutengana naye kutokana na unywaji pombe.


“Huyu bwana amekuwa kwenye ndoa ya jina tu maana mke wake amekuwa akiishi mbali naye kwa kipindi kirefu sana, amekuwa mpweke kwa muda mrefu mno huenda hicho ndicho kilichosababisha ajitoe roho yake,” amesema Mjumbe huyo wa Bodi.

Marehemu Makala ni mzaliwa wa kijiji cha Ndago, wilayani Iramba na anataraj

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mkuu wa shule Mkoani Singida ajinyonga hadi Kufa
Mkuu wa shule Mkoani Singida ajinyonga hadi Kufa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0D0Fe2XDKKTshn4AmAJf4jkUfAEkhNfGxIsyHzmc4LR8898Kac3Een8121s3ZDfuTUccBnWcP9VbD6D8vg8ehQ28ONFVWZN5QZo_E73zF0PzAH46W21XvmfijbvgiWbM5rHg4UnXEKTSB/s640/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0D0Fe2XDKKTshn4AmAJf4jkUfAEkhNfGxIsyHzmc4LR8898Kac3Een8121s3ZDfuTUccBnWcP9VbD6D8vg8ehQ28ONFVWZN5QZo_E73zF0PzAH46W21XvmfijbvgiWbM5rHg4UnXEKTSB/s72-c/1.png
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/mkuu-wa-shule-mkoani-singida-ajinyonga.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/02/mkuu-wa-shule-mkoani-singida-ajinyonga.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy