Muimbaji wa muziki wa Injili Atupyanie Paulo Metili enzi za Uhai wake Baadhi ya Wachungaji kutoka Dayosisi ya Kaskazini kati na kutoka m...
Muimbaji wa muziki wa Injili Atupyanie Paulo Metili enzi za Uhai wake
Mamia ya waombolezaji waliojitokeza kumuaga aliyekuwa Muimbaji wa njimbo za Injili Atupyanie Paulo Metili ambaye pia alikuwa mke wa mchungaji Paulo Metili wa kanisa la KKKT mjini kati Dayosisi ya Kaskazini ,Alizaliwa tare 25/12/1976 aliyefariki tarehe 20/2/2017 na kuzikwa katika makaburi ya kanisa huko Elboru mkoani Arusha 25/2/2017.Picha na Vero Ignatus Blog
Gari lililoubeba mwili wa marehemu Atupyanie Paulo Metili ukiwasili katika viwanja vya kanisa la KKKT Usharika wa Elboru .Picha na Vero Ignatus Blog.
Jeneza lililobeba mwili wa Muimbaji wa nyimbo za Injili Atupyanie Paulo Metili(mama mchungaji Metili) likishushwa kutoka kwenye gari .Picha na Vero Ignatus Blog.
Kwaya ya wimbo maalum ulioibwa na watu wote ikiimba kuwaongoza waombolezaji waliohudhuria msiba huo .Picha na Vero Ignatus Blog
Mume wa marehemu mchungaji Paulo Metili akiwa na watoto wake wawili aliyeko kushoto kwake na kulia kwake .Picha na Vero Ignatus Blog.
CHAMA cha waimbaji wa muziki wa Injili kanda ya kaskazini(CHAMUITA) wakiimba wimbo maalum katika msiba huo kumuaga muimbaji mwenzao. Picha na Vero Ignatus Blog.
Mkuu wa jimbo Arusha Magharibi mchungaji Isac Kisiri akizungumza katika msiba huo.Picha na Vero Ignatus Blog
Aliyebeba msalaba ni mchungaji Paulo Metili ambaye ni Mume wa marehemu pamoja na watoto wake wakielekea makaburini tayari kwa kwenda kuuhifadhi mwili wa mpendwa wao.Picha na Vero Ignatus Blog



